Katika vyakula tunaposema wanga tunamaanisha virutubisho ambavyo hupatikana kwenye vyakula. Hivi husaidia sana katika kuifanya miili yetu iwe na nguvu.
VIRUTUBISHO VYA WANGA
Wanga ni moja kati ta virutubisho vikuu vitatu, vingine ni fat na protini. Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nishati ama nguvu. Wanga ni katika sukari ambazo zinapatikana kwenye vyakula na ndani ya miili yetu. Tunaweza kupata virutubisho hivi kwenye vyakula na mimea.
Kazi za wanga
1.Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati
2.Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini
3.Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati
4.Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawa
YAKULA VYA WANGA
1.Mahindi
2.Mtama
3.Mihogo
4.Viazi
5.Ngano
6.Mikate
7.Mtama
8.Mchele
9.Keki
10.Krosho
11.Karanga
12.Ndizi
13.Nyama
14.Mayai
15.Maziwa
Upungufu wa wanga
Endapo virutubisho vya wanga vitapungua mwilini athari zitakazotokea ni:-
1.kukosa nguvu ya kutosha
2.Kuwa dhaifu
3.Mwili utashindwa kufany akzi vyema
Umeionaje Makala hii.. ?
Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.
Soma Zaidi...Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.
Soma Zaidi...Unadhanivkufanya kazi kunaweza kukusababishia maradhi ama mwili kudhoofu, ama kukonda. Umeshawahivkujiuliza wanao nenepa huwa hawafanyi kazi?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.
Soma Zaidi...