Jiamini A ni katika vitamini inayojulikana sana kuboresha na kuimarisha afya vya macho na uoni. Tafiti zinaonyesha kuwa kuna kundi kubwa la watoto wanaopata tayizobla kutokuona kutokana na ukosefu wa vitamini A vya kutosha.
Swali:
Je unaweza ukapona macho kama huoni vizuri kwa sababu ya vitamini A,
Yes unaweza kupona, kama tatizo limesababishwa na upungufu wa vitamini A. Ila itambulike kuwa tatizo la kutoona halihusiani na vitamini A tu vipo vyanzo vingine kama maradhi.
Tafiti zinaonyesha mahusiano pia kati ya vitamini E na kuona. Kwani vitamini E huweza kusaidia ukuaji wa seli za macho na kuziimarisha.
Sababu nyingine za maradhi ya macho :
1. Hali ya hewa
2. Maambukizi na mashambulizi ya bakteria
3. Maambukizi na mashambulizi ya tangazo
4. maambukizi na mashambulizi 1ya virusi
5. Kudhoofika kwa misuli ya macho.
6. Sababu za kurithi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kushiriki-ngono-na-mtu-aliye-na-vvu-na-ukimwi
Soma Zaidi...Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kqa mgonjwa aliyeingiliwa na kitu au uchafu kwenye sikio.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...