Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari, ni njia ambazo usaidia kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
Njia za kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
1. Elimisha jamii kwa kuwepo kwa ugonjwa huu na madhara yake na kujua kuwa unatibika.
2. Kuepuka ngono zembe katika kujamiiana, hii ni pale ambapo mwenye maambukizi kufanya ngono bila kinga, daima tumia kinga
3.Epuka kuosha sehemu za Siri Mara kwa mara kwa na sabuni maana huondoa bakteria ambao hawapaswi kuondolea kwa kitaalamu huitwa (normal frola) hawa bakteria nikwa ajili ya kinga
4 . Badilisha Pedi kwa mda maalumu na unaofaa, maana kukaa na Pedi mda mrefu usababisha maambukizi
5. Epuka kutumia vileo vikali ambavyo husababisha madhara mbalimbali na pengine ndio chanzo Cha ngono zembe.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
Soma Zaidi...Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya.
Soma Zaidi...Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo ,
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa vijana
Soma Zaidi...