Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.

Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

1. Upungufu wa homoni ya projestron usababisha mvurugiko kwenye mfumo wa mwili kwa wanawake wa rika zote , vyanzo vya kufanya homoni hii kupungua ninvingi ila mojawapo ni mfumo wa ukaji vyakula ambapo unakuta mtu anakula vyakula vya aina Moja kwa mfano mtu anatumia chips tu kwa mda mrefu na vyakula kama hivyo.

 

2. Kwa kawaida tunapaswa kutumia vyakula vya mlo kamili ikiwapo pamoja na mboga za majani na matunda, kitu kingine kinachosababisha  upungufu wa homoni hii ni pamoja na matumizi ya uzazi wa mpango kwa sababu unakuta Mama anatumia njia hii inashindikana na anatumia nyingine ikiambatana na kutokwa na damu, hali hii inasababisha kupungua kwa kiwango cha homoni ya projestron.

 

3. Kwenye matumizi ya uzazi wa mpango unakuta pengine homoni hii inaongezeka kwa kupita kiasi hali inayosababisha matatizo pia, kwa sababu unakuta mama anatumia njia ya uzazi wa mpango na njia hiyo Ina homoni hiyo hiyo ambayo imo kwenye mwili wa Mama kwa hiyo unakuta homoni inakuwa nyingi mwilini na kusababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.

 

4. Kwa hiyo tunapaswa kula chakula chenye kiwango kidogo cha mafuta, maji kwa wingi, chumvi kidogo na matumizi makubwa ya mboga mbona za majani na matunda , na pia tuwe makini wakati wa kuchagua njia ya uzazi wa mpango au ikishindikina ni vizuri kutumia njia za asili za uzazi wa mpango Ili kuweza kuepuka maambukizi.

 

5. Kwa hiyo aina hii ya homoni inapaswa kuwa na uwiano kabisa kwenye mwili kwa sababu ikiwa ndogo matatizo ya kupata mtoto yanaweza kutokea kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kidogo cha projestron Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/01/Friday - 08:44:33 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1083


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-