Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kujaa tmgesi tumbon
2.Kujaa gesi tumboni. Kikawaida ndani ya tumbo kuna gesi, ambayo husababishwa na vuakula tunavyokula. Sasa kila chakula mbacho hakijameng’enywa kinapoongezeka tumboni, yaani unapokula gesi zaidi hujitengeneza tumboni. Wakati gesi inapoongezeka inapelekea kujaa kwa tumbo na maumivu ya tumbo.
Pia mgonjwa atahisi kucheua gesi kwa sauti kutoka mdomoni, pia kujamba mara kwa mara ili kupunguza gesi.endapo tatizo hili litakuwa ni kubwa na endelevu linaweza kuashiria shida nyingine kama kisukari
Sababu nyingine za gesi tumboni:-1.Kumeza gesi2.Kula zaidi kupitiliza3.Kutafuna bigjii4.Kuvuta sigara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Inatakiwa angalau nafasivkati ya mtoto na mtoto wapishane miaka miwili.
Soma Zaidi...Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia kwa Mama mwenye mimba, ni kipindi ambacho Mama uhitahi uangalizi wa karibu zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mimba ya miezi kuanzia minne mpaka sita kutoka , Kuna kipindi mimba kuanzia miezi mimne mpaka sita utoka kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Soma Zaidi...