Posti hii inahusu zaidi namna ya kuepuka fangasi za ukeni, ni njia ambazo usaidia kuepuka madhara ya fangasi za ukeni.
. Njia za kuepuka madhara ya fangasi za ukeni
1.Epuka kusafisha sehemu za Siri kwa kutumia vitu vyenye kemikali kali usababisha kuuua bakteria wazuri ambao hukaa sehemu za Siri na kubakiza bakteria wabaya ambao uleta ma
ambukizi kwenye sehemu za Siri, vitu vyenye kemikali kali ni kama vile sabuni, pafuume na mambo kama hayo ambayo ni hatari kwa sehemu za uke.
2.Epuka kutawadha kutoka nyuma kwenda mbele.
Wakati wa kutawadha epuka Ile hali ya kutawadha kutoka nyuma kuelekea mbele, kwa sababu kwenye kinyesi Kuna bakteria ambao wakiingia kwenye sehemu ya uke wanaosababisha fangusi kwenye sehemu za uke kwa hiyo tuna tunapaswa kujitawadha kutoka mbele kwenda nyuma Ili kuepuka kutoa bakteria kutoka kwenye kinyesi kwenda kwenye sehemu za via vya uzazi.
3.Hakikisha kinga ya mwili Iko juu
Katika maisha ya kila mtu tunapaswa kuhakikisha kinga ya mwili Iko juu kwa kiwango kikubwa kwa kula vyakula mbalimbali ambavyo vinaongeza kinga mwilini na kuhakikisha kula vyakula vyenye mlo kamili na sawia,kama vyakula vya protein, vyakula vya mafuta, vyakula vya mafuta,vitamini, madini, mboga za majani na matunda pia unywaji wa maji kwa wingi vyote hivi vikiwa sawia usaidia kujenga mwili na kuwa na kinga.
5.Mtibu mpenzi wako kama ana ugonjwa wa fangasi. Kama una mpenzi wako na umegungua kuwa ana fangasi hakikisha mmeenda hospitalini na kupima na kutumia dawa za kutibu fangasi, pia hakikisha dawa zinamezwa kwa uangalifu na zinaisha kwa mda wake na dawa zikiisha Rudi hospitalini mkapime vizuri na kuhakikisha kuwa ugonjwa imeisha.
6.Punguza matumizi ya vyakula vyenye sukari kwa wingi na pia epuka kutumia marashi kwenye sehemu za Siri kwa sababu uua bakteria ambao ulinda sehemu za mwili na kusababisha maambukizi ya fangasi kwenye uke, pia vyakula vya sukari vinapaswa kupunguzwa na kutumika kwa kiwango kidogo sana.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.
Soma Zaidi...Kuzaa kabla ya wakati ni kuzaliwa ambayo hufanyika zaidi ya wiki tatu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto au kuzaliwa mapema ni moja ambayo hutokea kabla ya mwanzo wa wiki ya 37 ya ujauzito. Kawaida, ujauzito hudumu kama wiki 40.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, u
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii utokea kwa watoto wadogo wakati wa kuzaliwa kwa sababu maalum kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...KubaleheΓΒ ni wakati mwili wa mtoto unapoanza kubadilika na kuwa wa mtu mzima (balehe) hivi karibuni. Kubalehe ambao huanza kabla ya umri wa miaka 8 kwa wasichana na kabla ya umri wa miaka 9 kwa wavulana.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya tetracycline katika kupambana na bakteria,ni mojawapo ya antibiotics au anti bacteria ambayo upambana na bakteria kama tutakavyoona hapo mbeleni.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama anaenyonyesha
Soma Zaidi...Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...