Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia.
1.Tunajua wazi Ugonjwa wa Nimonia ni ugonjwa unaowashambulia sana watoto ingawa kwa mara nyingine uwapata na watu wazima kwa hiyo ili kuweza kuepuka na ugonjwa huu chanjo maalumu ya kuzuia ugonjwa huu imetolewa ambayo inapatwa na watoto wadogo kwa vipindi mbalimbali kama ifuatavyo.
2.Chanjo ya kwanza ya kuzuia ugonjwa wa upumuaji utolewa baada ya miezi sita ya mwanzoni kwa watoto ambao wamezaliwa na utolewa kwa kupitia paja la kulia na kiasi ambacho utolewa ni mills moja na nukta tano, kwa hiyo wakina mama na walezi wa watoto wanapaswa kuwapeleka watoto ili kupata chanjo.
3.Chanjo ya pili utolewa wiki ya Kumi baada ya kuzaliwa ambayo ni sawa sawa na miezi miwili na wiki mbili kwa hiyo Mama anapaswa kujua wazi na kumleta mtoto wake ili aweze kupata hiyo chanjo, na kiasi ambacho linatolewa na kile kila kilichotolewa kwenye chanjo ya mwanzoni ambacho ni sifuri nukta tano.
4.Chanjo ya tatu na ya mwisho utolewa baada ya wiki kumi na nne ambazo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili kwa hiyo kama kawaida Mama na walezi wanapaswa kumpeleka mtoto ili akapatiwe chanjo .
5.Kwa hiyo tunaona umuhimu wa chanjo ya kuzuia magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka watoto ili kupata chanjo. Na kwa upande wa makabila ambayo yanapingana na matumizi ya chanjo wanapaswa kuelimishwa na kujua waziatumizi ya chanjo hii na kazi yake.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuondoa sumu mwilini, ni njia mbalimbali ambazo uweza kutumika ili kuondoa sumu mwilini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Soma Zaidi...Pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu kitaalamu huitwa bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na michubuko sugu mwilini kwenye mirija yake ya kupitisha hewa. Hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija
Soma Zaidi...Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Makala hii itakujulisha kazi kuu za vitamini C mwilini. Hapa pia utatambuwa ni kwa nini tunahitaji vitamini C na wapi tutavipata
Soma Zaidi...