Post hii inahusu zaidi njia za kuenea kwa ugonjwa wa Ukimwi. Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.
Njia zinazosababisha kuenea kwa ugonjwa wa Ukimwi.
1. Ngono zembe Kati ya mwathirika na asiye mwathirika.
_ hii utokea pale ambapo mtu mwenye maambukizi kufanya ngono bila kinga na hasiye na Maambukizi
2. Kutumia vitu vyenye ncha kali
_ hii hutokea pale ambapo mwenye maambukizi kutumia vitu vyenye ncha kali kama vili wembe,Pini na vitu kama hivyo na mwenye maambukizi
3. Kuwekewa damu yenye virusi vya Ukimwi
_ hii utokea hospitalini pale ambapo mgonjwa utumia damu yenye virusi na yeye hupata kupitia njia hiyo
4. Mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua
_ hii utokea pale ambapo mama mwenye maambukizi kumwambikiza mwanae wakati wa kujifungua.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatari zilizopo kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na pia unene usio wa kawaida usababisha mtu kuwa na matatizo mbalimbali hasa saratani za kila sehemu kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kumsaidia aliyeumwa na nyoka
Soma Zaidi...Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na kwikwi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo utolewa kwa watu wanaodhani wamepatwa na maambukizi ya virus vya ukimwi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...