Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari
1. Ugumba, hali hii utokea pale ambapo yai linatoka kwenye ovari linashindwa kuingia kwenye milija kwa sababu milija inakuwa imeziba au mbegu zinashindwa kufikia yai
2. Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi, hali hii utokea pale ambapo nafasi ya kutungwa mimba uziba na mimba utungiwa nje ya mfuko wa uzazi
3. Maumivu makali kwenye pelvis, hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria waharibifu ambao ushambulia sehemu mbalimbali za via vya uzazi.
4. Kansa ya kizazi, kutokana na kuharibika kwafumo wa via vya uzazi, panaweza kutokwa Kansa ya kizazi na hata kifo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na kwikwi
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo
Soma Zaidi...