Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Faida za seli mwilini
_seli zinasaidia katika kulinda mwili kutokana na magonjwa mbalimbali
_seli husaidia mtu kujongea kutoka sehemu Moja kwenda nyingine, kama hakuna seli mtu hawezi kutembea kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
_seli husaidia kwenye mawasilianiano, ambapo zina kemikali mbalimbali zinazotoa ujumbe kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
_seli husaidia kuupatia mwili wa binadamu nguvu ambapo binadamu huweza kufanya kazi zao kwa kutumia nguvu hizo
_ seli husaidia katika uridhi ambapo seli za mama uungana na seli ya Baba kutengeneza zygote
Kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa seli ndizi asili ya maisha bila seli hakuna maisha
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini
Soma Zaidi...upungufu wa damu wa madini ya chuma ni aina ya kawaida ya upungufu wa damu hali ambayo damu haina chembe nyekundu za damu zenye afya. Seli nyekundu za damu hubeba oksijeni kwa tishu za mwili. Bila chuma cha kutosha, mwili wako hauwezi kutoa dutu ya k
Soma Zaidi...Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya.
Soma Zaidi...