Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Tutakwend akutumia database yetu iliotangulia na data zilezile sasa kumbuka unapotaka kuedit data kwenye database utatakiwa kutumia id yake ama column ambayo ni unique kwa sisi hapo coumn ambayo ni unique ni id. Hivyo tutatakiwa kuijuwa id ya mwanafunzi ambaye tunataka ku edit jina lake.
Mfano tunataka kubadili ina la mwajuma kuwa mwanaisha Sasa zingatia kuwa jina la mwajuma lipo id ya 3, hivyo tutakwenda kutumia id hiyo ili kubadili jina. Sasa hapa nitakwenda kutengeneza function ya ku edit taarifa
function editRecord($conn, $id, $jina) {
$query = "UPDATE matokeo SET jina = :jinaJipya WHERE id = :id";
$stmt = $conn->prepare($query);
$stmt->bindParam(':id', $id);
$stmt->bindParam(':jinaJipya', $jina);
// Execute the update query
$stmt->execute();
}
Kama utaiangalia function hii utaona kuna utofauti kifogo wa hizi code toka tulipoanza kuselect somo lililotangulia na hapa Tofauti na kutumis prepared statement ambapo huwa tunaweka alama ya ? mfano update matokeo set jina =? Where id =?. Sasa hii njia ya vidoi kama unavyoona hapo update matokeo set jina =:jina-jipya hii inatuwezesha sisi kuipa jina parameter yetu tofauti na jina la awali.
Njia hii unaweza pia kuitumia kwenye query nyinginezo kama za ku select. Mfano
$query = "SELECT * FROM users WHERE username = :username AND email = :email";
$stmt = $conn->prepare($query);
$username = 'john_doe';
$email = 'john@example.com';
$stmt->bindParam(':username', $username);
$stmt->bindParam(':email', $email);
Code zote zitaonekana hivi:
<?php
$dbHost = "localhost";
$dbName = "wanafunzi";
$dbUser = "root";
$dbPassword = "";
try {
$conn = new PDO("mysql:host=$dbHost;dbname=$dbName", $dbUser, $dbPassword);
// Function to edit a record in the database
function editRecord($conn, $id, $jina) {
$query = "UPDATE matokeo SET jina = :jinaJipya WHERE id = :id";
$stmt = $conn->prepare($query);
$stmt->bindParam(':id', $id);
$stmt->bindParam(':jinaJipya', $jina);
// Execute the update query
$stmt->execute();
}
// Example: Edit the record with ID = 1 and set the new name to 'New Name'
editRecord($conn, 3, 'Mwanaisha');
// Code to read data from the database
$query = "SELECT * FROM matokeo";
$stmt = $conn->prepare($query);
$stmt->execute();
// Fetch data using fetchAll
$result = $stmt->fetchAll(PDO::FETCH_ASSOC);
// You can iterate through the result and do something with each row
foreach ($result as $row) {
// Access individual columns using $row['column_name']
echo "ID: " . $row['id'] . ", Name: " . $row['jina'] . "<br>";
}
} catch (PDOException $e) {
echo "Imefeli kuunganishwa: " . $e->getMessage();
} finally {
// Close the connection
$conn = null;
}
?>
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia taarifa ambazo zimekusanywa kutoka kwa mtumiaji ili kuweka kutatuwa hoja mbalimbali
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya utengeneza json data kwa utumia php
Soma Zaidi...