Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kubadili json data na kuwaphp array ama php object. Kwa ufupi tunakwend aku decode json data kuwa phparray amaobject
Jinsi ya kufanya decoding ya json data:
Tunaposema kudecode tunamaansha uzitowa katika json na uzpelea wenye php. Sasa hapa kuna nmna mbili za kudecode ya kwanz ani kuzipeleka kwenye php array data na ya pili ni kuzipeleka kwenye php object data.
Functon inayotumika katika kufanya decodeing ni json_decode() hii ni kinyume cha ecode abayo tumeitumia katika somo lililopita.
Tuseme tuna data hz za json na tunataa uzi decode kwenye php
{
"posts":
[
{
"jina": "Bongoclass",
"year": 2018,
"status": "Actve",
"webste": "www.bongoclass.com"
}
]
}
Kubadili kuwa php object data
Kwanza tutaziweka kwenye variable. Kisha tutatuma function kuzi decode. Kisha tutatumia print_r function tofauti na kutumia echo. Ni kwa sababu print_r function hii itatuwezesha kuangalia structure ya object moja kwa moja.
<?php
$jsonData = '
{
"copmapy":
[
{
"jina": "Bongoclass",
"year": 2018,
"status": "Actve",
"webste": "www.bongoclass.com"
}
]
}';
// Decode JSON data into a PHP object
$dataObject = json_decode($jsonData);
print_r($dataObject);
?>
Kubadili kuwa php array data
Sasa ukitaka ku print array unachotakiwa kufanya ni kuongeza parameter ya true kumaanisha kuwa unataka kupata associative array ya hizo data.
Mfano:
<?php
$jsonData = '
{
"company":
[
{
"jina": "Bongoclass",
"year": 2018,
"status": "Actve",
"webste": "www.bongoclass.com"
}
]
}';
// Decode JSON data into a PHP associative array
$dataArray = json_decode($jsonData, true);
// Output the decoded data
print_r($dataArray);
?>
Pia unaweza ku access data moja kwa moja kwenye hiyo array ama object. Kwa kitumia index namba yake ama key yake.
Mfano:
Kwa kutumia array
<?php
$jsonData = '
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye PHP na jinsi ya kuweza kuzitumia
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na object. Tunakwenda kutumia mfano wetu wa hapo juu kwa ajili ya kukamilisha somo hili.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu condition statements if, ifelse na switch case. Hata utajifunza jnsi ya kuziandika na zinavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP OOP hapa tutakwenda kuiona jinsi inavyofanya kazi pamoja na foreach loop
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...