Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Hapa sasa ndipo tunakwenda kuitumia database yetu ili kuweza kutengeneza shopmanagement app. Tutatumia table zile zile tulizozitumia awali. Tutafanya kile kile tulichokifanya. Hapa utaona urahisi zaidi wa kutumia ORM.
Hii ni setup nzuri kwa mfumo wa "Shop Management" kwa kutumia RedBeanPHP. ✅ Nitakuandikia kila ukurasa (products.php, customers.php, transactions.php) hatua kwa hatua na kuhakikisha kuwa unaweza:
shop
Hakikisha umeunda database shop
, kisha RedBeanPHP itajenga tables moja kwa moja.
CREATE DATABASE shop;
Kisha hakikisha umeinstall RedBeanPHP kama nilivyoeleza awali.
db.php
- Kusanidi RedBeanPHPFaili hili litatumika katika kila ukurasa kuunganisha database. Kutumia composer kunaweza kuleta shida ikawa baadhi ya mafaili hayapatikani hivyo ukiwa na tatizo hilo vyema kutembelea kwenye website yao kisha download faili husika la driver, kisha include kwenye faili la database configuration. rejea somo lililotangualia.
<?php
require 'vendor/autoload.php';
R::setup('mysql:host=127.0.0.1;dbname=shop', 'root', '');
if (!R::testConnection()) {
die('Database haijaunganishwa!');
}
?>
products.php
- Kusimamia Bidhaa (Products)<?php
require 'db.php';
// Ongeza Product
if (isset($_POST['add'])) {
$product = R::dispense('products');
$product->name = $_POST['name'];
$product->price = $_POST['price'];
R::store($product);
header("Location: products.php");
}
// Futa Product
if (isset($_GET['delete'])) {
$product = R::load('products', $_GET['delete']);
R::trash($product);
header("Location: products.php");
}
// Hariri Product
if (isset($_POST['edit'])) {
$product = R::load('products', $_POST['id']);
$product->name = $_POST['name'];
$product->price = $_POST['price'];
R::store($product);
header("Location: products.php");
}
// Pata Products zote
$products = R::findAll('products');
?>
<h2>Manage Products</h2>
<form method="post">
<input type="text" name="name" placeholder="Product Name" required>
<input type="number" name="price" placeholder="Price" required>
<button type="submit" name="add">Add Product</button>
</form>
<table border="1">
<tr><th>Name</th><th>Price</th><th>Action</th></tr>
<?php foreach ($products as $product): ?>
<tr>
<td><?= $product->name; ?></td>
<td><?= $product->price; ?></td>
<td>
<a href="?delete=<?= $product->id; ?>">Delete</a>
<form method="post" style="display:inline;">
<input type="hidden" name="id" value="<?= $product->id; ?>">
<input type="text" name="name" value="<?= $product->name; ?>">
<input type="number" name="price" value="<?= $product->price; ?>">
<button type="submit" name="edit">Edit</button>
</form>
</td>
</tr>
<?php endforeach; ?>
</table>
customers.php
- Kusimamia Wateja (Customers)<">
...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku generate PDF automatik kutoka kwenye php code , html, javascript na css.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...