Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept ya polymorphism kwenye PHP OOP.
Interface ni nini?
Interface inafanana na abstract na hata ufanyaji kazi wake ila kuna utofauti kadhaa yutakuja kuuona hapo chini. Interface hasa yenewe hasa inarahisisha kwa class zaidi ya moja kufanya kazi sawa. Ikiwa kuna class zaidi ya moja zimetumia interface moja hii huulikana kama polymorphism.
Ili tuweze kutengeneza class yenye interface tutatumia keyword interface na ili kuitumia hiyo class yenye interface tutatumia keyword implement. Angalia mfano hapo chini:-
<?php
Interface gari {
}
class tangazo implements gari {
}
Utaona hapo kuna class mbili, ya kwanza ni gari na ya pili ni tangazo. Sasa class gari ndio ina interface na class tangazo inatumia interface ndio utaona hapo tmetumia keyword implement. Sasa hicho kitendo cha kutumia interface kwenye class nyingine ndio kinaitwa polymorphism.
<?php
Interface gari {
public function jina();
public function speed();
}
class tangazo implements gari {
public function jina() {
echo "Jina la gari ni toyota".'<br>';
}
public function speed(){
echo "speed ni 180 km/h";
}
}
echo "Tunauza gari <br>";
$obj = new tangazo();
$obj->jina();
$obj->speed();
?>
Utofauti kati ya insterface na abstract
Angalia mfano mwingine hapo chini
<?php interface mnyama { public function analiaje(); } class mbuzi implements mnyama { public function analiaje() { echo " Meee "; } } class paka implements mnyama { public function analiaje() { echo">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Aina za cache header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
Soma Zaidi...