Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Katika somo hli tutakwenda kujifunza kuhusu kitu kinachitwa cron job. Hii ni moja kati ya teknolojia mbayo hutolewa kariia na hosting zote. Hata hivyo unaweza pia kutumia huduma hii kwa kutumia platforn za free cron job. Kwa uganisi wa somo hili tutatumia moja kati ya websitte zainazotoa huduma hii kwa free.
Ni nini cron job
Ili uelewe cron job wacha nikupe mfano hapa. Chukulia mfano unataka kwenye blig yako uweke scheduled post. Hizi ni post ambazo zinajipost zenyewe pindi tu muda unapofika. Kwa mfano umeandika post yako muda ya asubuhi lakini unataka ikifika saa saba mchana na dakika 10 post ijipost yenyewe. Hii ina maana ni kazi ambayo hufanyijka automatic, na hii ndio maana ya ron job yaani code zina run zenyewe pasi na kuhitaji mtu wa kuzi run.
Katika ku set cron job lazima ukurasa ambao unataka uwe unaryn hizo code uwe unaweza kupatikana public. Yaani usiwe na haja ya ku log in.kwa mfano baada ya kutengeneza faili ambalo litakuwa linakaguwa hizo scheduled post kama kuna ambayo ipo tayasi, ukurasa huu unahitajika uwe unafikiwa hadharani.
Katika ku seti hiyo link ya hilo faili ambalo litakuwa lina run automatic utatakiwa kuchaguwa muda ambo unataka liwe lina run. Kuna mwaka, mwezi, siku, masaa, dakika na sekunde. Unaweza kuset siku unayotakka hilo gfaili li run, saa unayotaka na sekunde. Kwa mfano kama unataka faili lako li run kila baada ya dakika moja litafanya hivyo.
Jinsi ya kujisajili
Ingia kwenye website inaitwa https://console.cron-job.org/
Baada ya kyjusajili utaingia kwenye dashboard.
Tafuta palipoandika create cronjob
<">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
Soma Zaidi...