Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Namespace
Katika pogramming wakati mwingine unahitaji jina moja la class litumike zaidi ya mara moja kwenye class zaidi ya moja. Sasa OOP inakataa huwezi kuwa na class zaidi ya moja zenye jina moja kwenye ukurasa mmoja. Namespace imekuja kuondoa changamoto hiyo kwa kutumia namespace unaweza kutumia jina moja kwenye class zaidi ya moja.
Namespace husaidia kuchanganya class ama code zinazofanana katika utendaji wa kazi kuwa sehemu moja. Tunatengeneza namespace kw akutumia keyword namespace ikifuatiwa na jina la namespace mwanzoni kabisa kabla ya kuandika class. Na tunapotaka kuitumia tunafanya hivyo hivyo.
Hapa chini nimekuletea mfano wa class mbili zenye jina moja kwa kutumia namespace. Ama unaweza kutumia njia ya slash, yaani kwanza utaanza na jina la hiyo namespace ikifuatiwa na backslash ikifutwa na jina la hiyo class. Mfano wa hapo chini nimekuwekea njia zote mbili, namespace ya kwanza nimeitumia kwa njia ya kwanza na ya pili nmetumia hiyo njia ya pili
<?php
// Namespace ya "gari"
namespace gari;
class gari {
public static $jina = 'Toyota';
public function tangazo() {
return 'tunauza gari aina ya ' . self::$jina;
}
}
// Namespace ya "toyota"
namespace toyota;
class gari {
public static $jina = 'Basi';
public function tangazo() {
return 'tunauza gari aina ya ' . self::$jina . '<br>';
}
}
// Kutumia class "gari" kutoka namespace ya "toyota"
namespace toyota;
$myobToyota = new gari();
echo $myobToyota->tangazo();
// Kutumia class "gari" kutoka namespace ya "gari"
$myobGari = new garigari();
echo $myobGari->tangazo();
Hapo kuna namespace mbili ambazo ni gari na toyota, kila namespace moja ina class inayoitwa gari.
Namespace inaweza pia kutumika hata kwenye procedural p">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za PHP kama require() na iclude()
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Soma Zaidi...