Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Jinsiya kutuma email yenye html
Sas wakati mwingine utahitaji kutuma email ambayo ndnai yakeina html. Kufanya hivi kwanza utahitajika kutoa taarifa kwneye smtp server kuwa emailina html. Utaweka true. Mfano $mail->isHTML(true);. Baad aya hapo utaadika ujumbe wako wa htmlkwenye body.
mfano
$mail->Body = '<h1>Karibu Bongoclass</h1><p>Utaweza kujifunza mengi katika teknolojia</p>';
Sasa kwa sababu za kisalama baadhiya email server provider wanaweza kuzuia kufungua htmlkwenye email mpaka pale mmiliki atakaporuhusu. Hivyo basi ni vyemakuweka ujumbe mbadala. Yaaniendapo mtu hataruhusu htmlzifungukekwneyeemailyake basi tutamunyeshaplain texttu. Ujumbe huu mbadala tutauweka kwa kutumia altBody()
Mfano:
$mail->AltBody = 'Karibu Bongoclass. Utaweza kujifunza mengi katika teknolojia';
Code zote zitaonekana hivi:
<?php
use PHPMailer\PHPMailer\PHPMailer;
use PHPMailer\PHPMailer\Exception;
require 'vendor/autoload.php';
$mail = new PHPMailer(true);
try {
$mail->isSMTP();
$mail->Host = 'live.smtp.mailtrap.io';
$mail->SMTPAuth = true;
$mail->Username = 'paste one generated by Mailtrap';
$mail->Password = 'paste one generated by Mailtrap';
$mail->SMTPSecure = 'tls';
$mail->Port = 2525;
// Sender and recipient settings
$mail->setFrom('info@mailtrap.io', 'Mailtrap');
$mail->addAddress('recipient1@mailtrap.io', 'Tim');
// Email content
$mail->isHTML(true);
$mail->Subject = "PHPMailer SMTP test";
$mail->Body = '<h1>Karibu Bongoclass</h1><p>Utaweza kujifunza mengi katika teknolojia</p>';
$mail->AltBody = 'Karibu Bongoclass. Utaweza kujifunza mengi katika teknolojia';
if(!$mail->send()) {
echo 'Message could not be sent.';
echo 'Mailer Error: ' . $mail->ErrorInfo;
} else {
echo 'Message has been sent';
}
} catch (Exception $e) {
echo "Message could not be sent. Mailer Error: {$mail->ErrorInfo}";
}
?>
Jinsi ya kuweka attachment:
Sasa mfano unatakakuweka pdf, ama faili lolote kwenye email yako. Tutatumia addAttachment() utaweka location ya hilo faili ama linkyake.
Mfano:
$mail->addAttachment('pathf', 'file.pdf');
Mfano tuna pdf faili letu kwenye folda linaloitwa files,na faili letu linaitwa test.pdf. Hivyo tutaliweka katika namna hii.
$mail->addAttachment('files/test.pdf', 'test.pdf');
Pia kama mafaili ni zaidi ya moja utayaweka kwa mtindo kama huo
Mfano:
$mail->addAttachment('files/test1.pdf', 'test1.pdf');
$mail->addAttachment('files/test2.pdf', 'test2.pdf');
$mail->addAttachment('files/tes3t.pdf', 'test3.pdf');
Jinsi ya kuweka picha
Sasa wkati mwingine unahitaji kwenye email yakouweze ku display picha.saahapa kua utaratibu mwingine tofauti na vile ambavyo tunafahamu kwenye html.hapa tutatumia addEmbeddedImage() tutaweka path yaani location ya hiyopicha. Kisha tutaweka 'image_cid'
Mfano
Piacha yetu ipo kwenye folda linaloitwa files na picha yetu inaitwa email.jpeg
Kisha wakati wakuitumia tataweka <img src="cid:image_cid"> sio lazima kutumia image_cid unawezakutumia kitamblisho cochote. Mfano tunataka kuweka picha mbili kwenye email yetu. Hapo kilamoja itakuwa na cid yakwake
$mail->addEmbeddedImage('files/email.jpeg', 'image1');
$mail->addEmbeddedImage('files/mbu.png', 'image2');
$mail->Body = '<p>haloo karibu saba.<b>wewe ni rafiki<u>waa kweli</u></b></p><img src="cid:image1"><br> Mail body in HTML <img src="cid:image2">';
Wacha tuonecode zote:
<?php
use PHPMailer\PHPMailer\PHPMailer;
require 'vendor/autoload.php';
$mail = new PHPMailer(true); // Enables exceptions
$mail->isSMTP();
$mail->Host = 'live.smtp.mailtrap.io';
$mail->SMTPAuth = true;
$mail->Username = 'api';
$mail->Password = 'af57db7937f19811dca7610d96776d14';
$mail->SMTPSecure = 'tls';
$mail->Port = 587;
$mail->setFrom('info@demomailtrap.com', 'Bongoclass');
$mail->addReplyTo('admin@demomailtrap.com', 'John Doe');
$mail->addAddress('skyclassbongo@gmail.com', 'Recipient Name');
$mail->addAttachment('files/test.pdf', 'test.pdf');
$mail->isHTML(true);
$mail->Subject = "PHPMailer SMTP test";
$mail->addEmbeddedImage('files/email.jpeg', 'image1');
$mail->addEmbeddedImage('files/mbu.png', 'image2');
$mail->Body = '<p>haloo karibu saba.<b>wewe ni rafiki<u>waa kweli</u></b></p><img src="cid:image1"><br> Mail body in HTML <img src="cid:image2">';
$mail->AltBody = 'This is the plain text version of the email content';
if(!$mail->send()){
echo 'Message could not be sent.';
echo 'Mailer Error: ' . $mail->ErrorInfo;
}else{
echo 'Message has been sent';
}
Mwisho:
Huu ndio mwisho wa somo letu la kutuma email kwa kutumia phpmailer. Nichukuwe nafasi hii pia kukukaribisha kwenye somo linalofuata ambalo tutakwend akujifunza kuhusu kutengeneza pdf kwa kutumia php
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza kuthibiti nama ya kuzitumia properties kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye database kw akutumia PHP
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza umuhmu wa kutumia PDO kwenye PHP kwa ajili ya kutumia database.
Soma Zaidi...