Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Traits ni nini?
Miongoni mwa changamoto za inheritance ni kuwa inakuwaga ni moja tu, yaani class haiwezi kurithi kutoka kwenye class zaidi ya moja. Kw alugha rahisi child class haiwezi kurithi kutoka kwenye class zaidi ya moja. Kwenye maisha ya kawaida ni sawa na kusema mtoto hawezi kuwa na mzazi zaidi ya mmoja.
Sasa hapo utaona kuna shida, ni kwa sababu mtoto ana wazazi wawili, lamda kwa Yesu, Adamu na Hawa (Eva) ila tuliobakia tuna wazazi wawili. Ukiachana na hiyo pia mtoto anaweza kuridhi baadhi ya sifa kutoka kwa mababu zake na mabibi kupitia kwa wazazi wake. Sasa concept ya inheritance itatulazimisha mtoto arithi kwa mzazi mmoja tu.
Traits itatuwezesha sasa child class ku inherit kutoka kwa class zaidi ya moja. Hivyo trait itawezesha method moja iweze kutumika kwenye class zaidi ya moja. Na method inaweza kuwa na access modifier yryote ile hata kama hiyo method ni abstract. Traits hutengenezawa kwa kutumia keyword trait
Mfano:
<?php
trait gari {
}
?>
Ili uweze kutumia trait class utatumia key word use
Mfabno:
<?php
trait gari {
public function tangazo() {
echo "Tunauza magari <br>";
}
public function mawasiliano() {
echo "Mawasiliano yetu ni : dukag@gmailcom ";
}
}
class ujumbe {
use gari;
}
class contact {
use gari;
}
$obj = new ujumbe();
$obj->tangazo();
$obj->mawasiliano();
?>
Maelezo zaidi
Hapa ni ufafanuzi wa msimbo wako:
1. Traits (gari na duka):
- Traits ni class inavyoweza kutumika upya katika PHP.
- Trait `gari` ina method moja, `tangazo1`, ambayo inachapisha ujumbe "tunauza gari aina zote."
- Trait `duka` ina method nyingine, `tangazo2`, ambayo inachapisha ujumbe "tunatengeneza gari aina zote."
2. Classes (mauzo na matengenezo):
- Class `mauzo` inatumia trait `gari` kupitia use yaani inachukua sifa na method za trait hiyo.
- Class `matengenezo` inatumia traits zote mbili, `gari` na `duka`, na hivyo inarithi sifa na method zote za hizo traits.
3. Matumizi ya Objects:
- Unajenga object la class `mauzo` na kuita method `tangazo1`, ambayo itachapisha "tunauza gari aina zote."
- Kisha, unajenga object la class `matengenezo` na kuita method `tangazo2`, ambayo itachapisha "tunatengeneza gari aina zote."
Msimbo wako unaonyesha jinsi traits zinavyoweza kutumika kuongeza sifa na method kwa classes mbalimbali bila kubadilisha urithi wa class yenyewe.
Nak">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowHaya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP OOP hapa tutakwenda kuiona jinsi inavyofanya kazi pamoja na foreach loop
Soma Zaidi...