PHP somo la 102: Cron job
atika somo hli tutakwenda kujifunza kuhusu kitu kinachitwa cron job. ni moja ya teknolojia zinazotumika kufanya kazi zinazofanyika automatic
KHii ni moja kati ya teknolojia mbayo hutolewa kariia na hosting zote. Hata hivyo unaweza pia kutumia huduma hii kwa kutumia platforn za free cron job. Kwa uganisi wa somo hili tutatumia moja kati ya websitte zainazotoa huduma hii kwa free.
Ni nini cron job
Ili uelewe cron job wacha nikupe mfano hapa. Chukulia mfano unataka kwenye blog yako uweke scheduled post. Hizi ni post ambazo zinajipost zenyewe pindi tu muda unapofika. Kwa mfano umeandika post yako muda ya asubuhi lakini unataka ikifika saa saba mchana na dakika 10 post ijipost yenyewe. Hii ina maana ni kazi ambayo hufanyijka automatic, na hii ndio maana ya ron job yaani code zina run zenyewe pasi na kuhitaji mtu wa kuzi run.
Katika ku set cron job lazima ukurasa ambao unataka uwe unaryn hizo code uwe unaweza kupatikana public. Yaani usiwe na haja ya ku log in.kwa mfano baada ya kutengeneza faili ambalo litakuwa linakaguwa hizo scheduled post kama kuna ambayo ipo tayasi, ukurasa huu unahitajika uwe unafikiwa hadharani.
Katika ku seti hiyo link ya hilo faili ambalo litakuwa lina run automatic utatakiwa kuchaguwa muda ambo unataka liwe lina run. Kuna mwaka, mwezi, siku, masaa, dakika na sekunde. Unaweza kuset siku unayotakka hilo gfaili li run, saa unayotaka na sekunde. Kwa mfano kama unataka faili lako li run kila...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
PHP - somo la 30: Baadhi function za PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...PHP - somo la 4: Aina za data zinazotumika kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...PHP - somo la 27: aina za variable kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...PHP - somo la 48: Jinsi ya kuzuia hacking kwenye sytem ya kujisajili na ku login
Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection.
Soma Zaidi...PHP somo la 59: static property kwenye PHP
Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...PHP - somo la 18: Jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...