PHP somo la 76: Aina za cache header
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Aina za cache header
Aina za cache header
-
Cache-Control
Hii hutumika kudhibiti ni kwa namna gani header zinadhibitiwa. Cache hii ina directive kama vile:-
-
No-cache: hii hutumika kutuma ombi moja kwa moja kwenye server kablya ya cache kufanyiwa kopi.. .header('Cache-Control: no-cache');
-
No-store: hapa unaikataza browser kutohifadhi cache kabisa header('Cache-Control: no-store');
-
max-age=36000: hii huweka muda ulio kikomo ambapo maudhui yatakuwa live. header('Cache-Control: max-age=3600');
-
Must-revalidate: hapa browser inatakiwa mpaka ktuma tena cache kwa ajili ya kuthibitisha taarifa.header('Cache-Control: must-revalidate');
-
Public: ina maana maudhui yameruhusiwa kuhifadhiwa na cache yoeyote ile header('Cache-Control: public');
-
Private: na maana cache husika ni kwa ajiliya mtummoja tu,hivyo inakatazwa kutoa taarifa hizo kushare kwingine. header('Cache-Control: private');
2. Expire
Hii hushughulika na muda ambao ukipita basi taarifa za kwenye header zitakuwa sio sahiahi ama hazitapatikana tena. Mfano header('Expires: Thu, 01 Dec 2022 16:00:00 GMT');
3. ETag (Entity Tag):
Hii hutumika kuweka utambulishi wa toleo la maudhui yaliyokuwepo kweye header. Utambulisho huu unaweza kutumika katika kuthibitisha uhalali wa taarifa hizo header('ETag: "unique-identifier"'); kwenye identifier kunaweza kukaa hash data, ama database version, ama time au data yeyote itakayoweza kutumika.
mfano:-
$file = 'path/to/your/file';
$etag = md5(filemtime($file) . filesize($file));
header('ETag: "' . $etag . '"');
4. Last-Modified:
Hii hutaja muda ambapo content zimefanyiwa modification kwa mara ya mwisho. Mfano header('Last-Modified: ' . gmdate('D, d M Y H:i:s') . ' GMT');
5. Vary:
Hii hutumika katika kudhibiti cache kabla haijafanyika inatakiwa kuangalia baadhi ya taarifa za header. Kwa mfan...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
PHP somo la 60: namespace na matumizi yake kwenye PHP
Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...PHP somo la 66: Jinsi ya ku edit data na kufuta kwenye database kwa kutumia PDO
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Soma Zaidi...PHP - somo la 27: aina za variable kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...PHP - somo la 16: Jinsi ya kufuta tabale na database kwa kutumia php
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...PHP somola 78: Cookie Headers
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...PHP - somo la 41: Jinsi ya kufanya hashing kwenye PHP
Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama password. Kufanya hashing kunaongeza usalama wa taarifa za waumiaji kwenye blog yako.
Soma Zaidi...