Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutengeneza tabe na kuingiza data kw akutumia PDO:
Kabla hujaanza somo hili hakikisha una uwelewa wa database na php, na kama bado vyema urudi kwenye mafunzo yetu ya nyuma.
Sasa hapa kwanza tutakwenda kutengeneza database yenye jina wanafunzi, kisha tutatengeneza table yenye jina matokeo. Kamtika kutengeneza database na table yake tutatumia IF NOT EXISTS kwenye query ili kunagalia kama database ipo hatutatengeneza, na kama table ipo pia hatutaitengeneza.
Baada ya kutengeneza database tutatumia use query ili kuweza kuitumia. Tutaitajika kuitumia hoyo database tulioitengeneza ili kuweza kutengenza table.
Ili tuweze ku excute code za sql kwa kutumia php kwenye PDO tutatumia function inayoitwa exec() ambapo ndani yake ndipo tutaweka command za sql.
Mfano:
$createDatabaseQuery = "CREATE DATABASE IF NOT EXISTS $dbName";
$conn->exec($createDatabaseQuery);
$conn->exec("USE $dbName");
// Create the table
$createTableQuery = "
CREATE TABLE IF NOT EXISTS matokeo (
id INT AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY,
jina VARCHAR(255) NOT NULL,
alama INT NOT NULL
)
";
$conn->exec($createTableQuery);
Utaona hapo function ya exec() imetumika ili kuweza ku run sql query. Sasa waca tuone code zote kwa pamoja zinakuwaje:-
Code zote zitakuwa hivi:
<?php
$dbHost = "localhost";
$dbName = "wanafunzi";
$dbUser = "root";
$dbPassword = "";
try {
$conn = new PDO("mysql:host=$dbHost", $dbUser, $dbPassword);
echo "Database imeunganishwa";
// Create the database if it doesn't exist
$createDatabaseQuery = "CREATE DATABASE IF NOT EXISTS $dbName";
$conn->exec($createDatabaseQuery);
// Switch to the newly created database
$conn->exec("USE $dbName");
// Create the table
$createTableQuery = "
CREATE TABLE IF NOT EXISTS matokeo (
id INT AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY,
jina VARCHAR(255) NOT NULL,
alama INT NOT NULL
)
";
$conn->exec($createTableQuery);
echo "Database 'wanafunzi' na table 'matokeo' zimeundwa";
} catch (Exception $e) {
echo "Imefeli kuunganishwa";
echo $e->getMessage();
}
$conn = null;
?>
Sasa hatuwa inayofuata ni kuingza data wenye database yetu. Hapa ttabadilisha kidogo query zetu za hapo awali. Kwanza tutaitaja database wakati wa kuunganisha kama ilivyo kwenye somo la kwanza.
<?php
$dbHost = "localhost";
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza jisniya kutuma email kwa kutumia PHPMailer kwenye project ya PHP. Katika somo hili tutakwend akutuma email kwa kutumia localhost.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku generate PDF automatik kutoka kwenye php code , html, javascript na css.
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP OOP hapa tutakwenda kuiona jinsi inavyofanya kazi pamoja na foreach loop
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo utaweza ku upload faili na kuandika makala kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
Soma Zaidi...