Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Kuangalia error wakati wa ku decode json na ku encode
Kuangalia error ni moja katika mambo muhimu yanayoweza kuimarisha usalama wa project. Katika php ili kuweza kuangalia error tutatumia function ya json_last_error() ambayo ina output value kadhaa tutakuja kuziona hapo mbele. Kisha ili kuweza ku print message ya error tutatumia function ya json_last_error_msg() hata hivyo zingatia sana kuwa hutakiwi ku print error wakati wa produnction stage.
Mfano
Wakati wa ku decode
<?php
$jsonData = '{ "name": "Bongoclass", "year": 2018, "status": "Active" }';
// Decode JSON data
$dataObject = json_decode($jsonData);
// Check for JSON decoding errors
if (json_last_error() !== JSON_ERROR_NONE) {
echo 'Decoding error: ' . json_last_error_msg();
} else {
echo 'Decoding successful!';
// Process the decoded data
print_r($dataObject);
}
?>
Inatosha pia kwenye kuangalia error hapo kuweka json_last_error() tu bila ya kuweka JSON_ERROR_NONE hata hivyo kama kuna error maalumu umeikusudia ndipo utaweka hizi constatnt. Kkwa mfanp hii ya JSON_ERROR_NONE kwa ujumla inaangalia kama hakuna error yeyote. Lakini zipo nyingine kwa ajili ya kuangalia error maalimu.
Wakati wa ku encode
Utaratibu ni uleule kama tulivyoona hapo juu. Sheria ni hizo hizo .
<?php
$data = [
'name' => 'Bongoclass',
'year' => 2018,
'status' => 'Active',
];
// Encode data to JSON
$jsonData = json_encode($data);
// Check for JSON encodi">
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya kuathiri usalama wa project
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu syntax za PHP
Soma Zaidi...