Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama password. Kufanya hashing kunaongeza usalama wa taarifa za waumiaji kwenye blog yako.
Kufanya hashing
Moja katika somo muhimu kwa ajili ya usalama wa kazi yako ni hii ya kutumia hashing. Chukulia mfano password yako ni admin123 sas akule kwenye database hii password ni hatari kama itaonekana hivihivi. Hivyo basi tunatakiwa kubadili kuwa hatika namna tofauti ili mtu asiweze kuijuwa hata kama ikitokea amehack database. Kwa mfano passowr hivyo kwenye database inaweza kuwa hivi 0192023a7bbd73250516f069df18b500
Je hii ni njia sahihi kiusalama?
Jibu ndio, mpaka sasa hakujatokea teknolojia ya kuweza kuijuwa password ambayo imefanhyiwa hashing. Hata hivyo zipo software hutumiwa ili kuweza kuges password. Pia endapo mtu ataipata hiyo hash anaweza kutumia vifaa mbalimbali kuweza kupata password ambayo itafanana na hiyo na kweza ku login.
Password ikiwa hashed haiwezi kurudishwa tena katika hali ya kawaida. Ndio maana hii ni njia salama zaidi kuliko encryption ama kuwacha password kuwa plain text. Kuna function kadhaa za kufanya hashing ambazo ni md5(), sha1() na hash() na password_hash().
Kwa kutumia md5()
$password = "admin123";
$hasshed_password = md5($password);
echo $hasshed_password;
?>
Hii itakupa matokeo 0192023a7bbd73250516f069df18b500
Kwa kutumia sha1()
$password = "admin123";
$hasshed_password = sha1($password);
echo $hasshed_password;
?>
Hii itakupa matokea f865b53623b121fd34ee5426c792e5c33af8c227
Kwa kutumia hash()
Hii ina utofauti kidogo, yenyewe ina parameter 2 za lazima kwanza ni gost au gost-crypto, na ya pili ni password yako.
$password = "admin123";
$hasshed_password = hash('gost',$password);
echo $hasshed_password;
?>
Hii itakupa matokeao 6fea3e5f10dff1f2f6be984728d8b9ae84ecc0412024ce8e55b4c22970268801
Katika njia 3 hizo nilizotaja hapo hiyo ya mwisho ni salama zaidi. Hata hivyo kuna namna ya kuzifanya hizo za pili lkuwa salama zaidi. Ni kwa kutumia neno la siri jingine ambayo itatumiaka kwenye kutengeneza password. Kwa mfano tunaweza kutumia neno myall@pass# 1+)lkhd sasa hili neno litatusaidia katika kutengeneza hash ambayo sio rahisi ku predict.
Kwa md5
$password = "admin123";
$neno_siri = "myall@pass# 1+)lkhd";
$hasshed_password = md5($password.$neno_siri);
echo $hasshed_password;
Itakuletea 4e0c20ed60ac98b646b886740ab59344
Kwa sh1
$password = "admin123";
$neno_siri = "myall@pass# 1+)lkhd";
$hasshed_password = sha1($password.$neno_siri);
echo $hasshed_password;
Itakuletea 3af05cd45ac6a5b373f6fe2b29864ac6ea7de344
Kwa hash
$password = "admin123";
$neno_siri = "myall@pass# 1+)lkhd";
$hasshed_password = hash('gost',$password.$neno_siri);
echo $hasshed_password;
Itakuletea e308f01a40829fc0a3c7a164205048d9461967d1c0941b7624bd17ede270178e
Utaona hapo hizo hash zimekuja tofauti na zilivyo mwanza. Hii password hata mmiliki wa hiyo database hawezi kuijuwa yee lamda ataweza kuona hizo hash tu lakini ni password gani unayotumia hawezi kuijuwa.
password_hash()
Sasa kuna njia nyuingine ambayo ni salama zaidi. Nayo ni pasword_hash() function. Hii yenyewe inafanyika katika njia kuu 3 ambazo ni kwa kutumia
PASSWORD_BCRYPT
PASSWORD_ARGON2I
PASSWORD_DEFAULT
Mfano
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza database kwenye mysql database.
Soma Zaidi...Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu condition statements if, ifelse na switch case. Hata utajifunza jnsi ya kuziandika na zinavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo il utajifunza kutuma email kwa watu wengi kwa kutumia PHPMailer. Pia utajifunza jinsi ya kuweka Carbon Copy na Blind Carbon Copy
Soma Zaidi...atika somo hli tutakwenda kujifunza kuhusu kitu kinachitwa cron job. ni moja ya teknolojia zinazotumika kufanya kazi zinazofanyika automatic
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunzo kuhusu teknolojia ya ORM na inavyotumika kulinda usalama wa database
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza jinsi ya kupata taarifa muhimu za mtumiaji kw akutumia Ip address yake.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza aina za http header na server variable. Hapa tutakwenda kuchambuwa mgawanyiko wa httpheader na kazi zake.
Soma Zaidi...