PHP somo la 65: Jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Hapa tutakwenda kutumia database yetu tuliotengeneza somolililopita. Pia tutakwend akusima data ambazo tumeingiza kutoka katika somo lililopita.
Ili kuweza kusoma data kwenye data kwenye database tutatumia SELECT . Kwa mfano tutaandika
$query = "SELECT * FROM matokeo";
$stmt = $conn->prepare($query);
$stmt->execute();
Kisha baada ya hapo tutatumia loop ili kuweza kuprint matokeo ya hizo data ambazo tume select hapo juu loop ipo nyingi lakini hapa tutakwenda kutumia loop tatu ambazoni:-
- for LOOP
- While loop
- Foreach loop
Kwa kutumia for loop:
Baada ya ku select tutatumia fetchAll() method ili kuweza kuchukuwa data kutoka kwenye database.
<?php
$dbHost = "localhost";
$dbName = "wanafunzi";
$dbUser = "root";
$dbPassword = "";
try {
$conn = new PDO("mysql:host=$dbHost;dbname=$dbName", $dbUser, $dbPassword);
// Code to read data from the database
$query = "SELECT * FROM matokeo"; // Replace 'your_table_name' with the actual table name
$stmt = $conn->prepare($query);
$stmt->execute();
// Fetch all data into an array
$result = $stmt->fetchAll(PDO::FETCH_ASSOC);
// Use a for loop to iterate through the array
for ($i = 0; $i < count($result); $i++) {
$row = $result[$i];
// Access individual columns using $row['column_name']
echo "ID: " . $row['id'] . ", Name: " . $row['jina'] . "<br>";
}
} catch (Exception $e) {
echo "Imefeli kuunganishwa";
echo $e->getMessage();
} finally {
// Close the connection
$conn = null;
}
?>
Kwa kutumia while loop:
<?php
$dbHost = "localhost";
$dbName = "wanafunzi";
$dbUser = "root";
$dbPassword = "";
try {
$conn = new PDO("mysql:host=$dbHost;dbname=$dbName", $dbUser, $dbPassword);
&...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 ai web app 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
PHP somo la 100: Jinsi ya kutumia sql moja kwa moja kwenye ORM ya RedBeanPHP
Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya kuathiri usalama wa project
Soma Zaidi...PHP somo la 76: Aina za cache header
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Aina za cache header
Soma Zaidi...PHP somo la 87: Jinsi ya kuangalia error wakati wa ku decode na ku encode json data
Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...PHP somo la 59: static property kwenye PHP
Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...PHP - somo la 37: Jinsi ya kutengeneza blog post kwa kutumia PHP
Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo utaweza ku upload faili na kuandika makala kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...PHP BLOG - somo la 7: Jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kusoma post kwenye blog
HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...