Namna ya kutawadha hatua kwa hatua


1. kupiga msaki
2. kusema Bismillaah na kuanza kuosha viganja vya mikono (mara tatu) -hatua 1
3. Kusukutua na kupandisha maji puani (mara tatu) - hatua 2 na 3
4. Kuosha uso kwa ukamilifu (mara tatu) - hatua 4
5. Kuosha mkono wa kulia mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 5
6. Kuosha mkono wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 6
7. Kupaka maji kichwani- hatua 7
8. Kuosha masikio (mara tatu)- hatua 8
9. Kuosha mguu wa kulia halafu wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)- hatua 9.Baada ya kumaliza utasimama na kuelekea kibla kisha kuleta dua kamal ilibyoelezwa hapo juu.