Mwendelezo wa hadithi ya mahusiano ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya mahusiano ya vijana wawili baada ya kuhamia shule mpya.

Mwendelezo wa hadithi ya mahusiano ya vijana wawili.

1. Baada ya vijana wawili kuhamia kwenye shule mpya waliendelea na mahusiano kama kawaida ila wakaamua kuwekeana mikakati, ila kwasababu ya Julius alikuwa kijana mzuri na anayevutia kwa macho kwa hiyo alipendwa na wasichana wengi kwa hiyo hali ya jack ikawa mbaya zaidi na akatafutiwaa na mwana saikolojia mkuu ili kuweza kushauriwa zaidi kwa hiyo jack hakuwa wazi kwa sababu aliogopa kugombezwa na wazazi wake.

 

 

 

 

2. Siku moja rafiki yake jack aliyeitwa betina alimwita jack na kumshauri kwa sababu alijua  tatizo lake  kwa hiyo betina alimwambia jack kwamba tatizo hili na yeye alikwisha kulipata kwa hiyo akamwambia aachane naye na atafute mvulana mwingine. Basi betina aliamua kumtafuta mvulana aliyeitwa Dickson ila awe mpenzi wake lakini roho ya jack ilikuwa bado kwa Julius na Julius ingawa alikuwa anapendwa na wasichana wengi kwa sababu ya uzuri wake ila roho yake ilikuwa kwa jack.

 

 

 

 

 

3. Basi wakaendelea kupendana jack na Dickson na mapenzi yao yakawa ya ukweli  na pia jack akaanza kufaulu vizuri kabisa darasani kama mara ya kwanza na maisha yalikuwa ya kawaida,ila baada ya Jackie kufaulu sana na kuzidi wavulana wote darasani wavulana wakatafuta mbinu ya kumfanya afeli kwa sababu kila zawadi za shule alichukua yeye , na pia Julius alimpenda jack si kwa mapenzi ya kweli bali kwa sababu kwao na jack palikuwepo na hela nyingi kwa hiyo julius alipoenda kupendana na wasichana wengine kipato kilipungua kabisa.

 

 

 

 

 

 

4. Kwa hiyo wavulana wakaanza kutafuta mbinu za kumteka jack, wakaanza kumtumia Julius ila ateke akili zake na jack akajifanya amepunguza mapenzi kwa wasichana wengine akaanza kumtafuta jack,kwa sababu jack alimpenda mno juliusi akaanza kuchanganyikiwa kwa sababu akimwangalia jack pia Dickson hakuelewa somo, kwa hiyo kila siku alipata ujumbe kutoka kwa Julius ujumbe huo aliupata muda tofauti ulioomchanganya sana yaani mda mwalimu akiwa anafundisha na akitaka kujisomea kwa hiyo hali ya Jackie ikaanza kuwa ngumu tena ila siku moja aliandikiwa barua iliyomchanganya kabisa na barua yake ilikuwa kama ifuatavyo.

 

Itaendelea baadae

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/15/Friday - 05:04:02 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1592


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-