Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambao walipoteana katika hali za kukimbizwa na wazazi Ili waweze kutimiza ndoto zao na siku wakakutana wakiwa watu wazima.
1. Siku ilipofika wakamaliza mkutano na ikabidi engineer na daktari mkuu kukutana basi daktari akaenda ofisini mwake Ili kuongea na engineer kwa hiyo akafungua ofisi na kumtuma secretary wake Ili kumpatia engeener aweke sahihi Ili aingie ofisini kwa hiyo secretary akapeleka kitabu na engineer akaweka sahihi na daktari kuja kusoma akashangaa kuona majina yote ya julius base Jackie akashutuka sana na akafikilia kwa Mda na kutafakari upendo wao yeye na Juliusi basi akaamuru julius aingie ndani na daktari Jackie akamtuma secretary mbali Ili kikitokea cha kutokea hasijue.
2. Basi julius akaruhusiwa kuingia ndani kwa heshima Ili kukutana na daktari mkuu kuangalia daktari ni Jackie julius hakuamim macho yake akaja kusalimiana na Jackie kigugumuzi kikamshika Jackie akatoa machozi wakakumbatiana kwa furaha ila katika kukumbatiana Jackie akaanguka chini akazimia mle ofisi na Juliusi aliangaika sana na kuwaita watu Ili kumsaidia daktari,watu wakajiuliza sana kuhusu kuzimia kwa daktari mkuu na kwa sababu ya kuingia kwa mgeni na kitendo cha kumgukuza secretary.
3. Basi baada ya mda Jackie akazinduka na kuulizwa kilichotokea hakujibu chachote na pia mama yake alikuwa anaishi na Jackie kitendo cha kumwona julius mama Jackie aliumia mno na kuwaita polise Ili wamkamate Julius ila Jackie akamkataza mama yake na kumwambia kwamba ni engineer mkuu aliyekuja kujenga hospital usimdhuru ila mama yake aliumia sana na kumwambia Jackie asishirikiane naye ila Jackie akamwambia mama yake kwamba ni sehemu ya kazi mama.
4. Basi baadae Jackie ndipo akaamua kuongea na engineer kuhusu kujenga hospital ila Jackie alikuwa na wasiwasi mkubwa sana kwa sababu alishawahi kukutana na udanganyifu wa julius basi wakapanga vizuri na kazi zikaendelea vizuri, ila kitendo cha kuona julius kwenye mazingira kilimfanya Jackie akumbuke julius na pia julius alimkumbuka Jackie ila hakuna aliyedhubutu kumwambia mwenzake ila kazi zikaendelea kama kawaida.na siku Moja Julius akaamua kumwambia Jackie habari za kumchumbia Jackie.
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya nne ni pale bibi anawachanganya kwa maneno yake yaani mke wa kwanza anaambiwa aandae malkia na mke mdogo atafute njia za kufanya kijana wake kuwa mfalme.
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi hadithi ya safari ya muujiza ambapo ya Mungu mengi anaenda kwao na kuomba kufahamu history yake ili afahamu kuhusu wazazi weo walipo na ndugu zao walipo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya Nimlaumu nani ambapo juma anapanga na madaktari wanaopima DNA ili kuweza kutambua kwamba mtu mimba ni ya kwake na sio ya Frank kwa hiyo tuendelee kusikiliza mpaka tutakapoona mimba itakuwa ya Frank au juma.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za kuwa na wivu na kutokuwa wazi, sehemu hii inahusu zaidi maendeleo ya Lisa shuleni yanakuwa mabaya zaidi na lina anaendelea kumtunzia siri lengo lake lina ni kuendelea kuwa wa kwanza darasani.
Soma Zaidi...Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mafundisho ambayo tunayapata kutoka kwa binti mfalme, tunapotoa hadithi sio kusoma na kufurahia tu ila kuna mafundisho muhimu katika maisha yetu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, kuhusu hadithi hii ni pale Jackie anaandikiwa barua na Julius ili apotezwe akili na wavulana wengine kwa sababu Jackie aliwapita darasani.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.
Soma Zaidi...