Mahusiano ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mahusiano yaliyotokea kati ya vijana wawili ila yanafika baadae mmoja akamsaliti mwenzake.
Mahusiano ya vijana wawili.
1. Palikuwepo na vijana wawili mmoja aliitwa Jackie na mwingine Julius, vijana hao walikutana shuleni wote kuanzia chekechea mpaka darasa la saba, kitabia walikuwa na tabia tofauti kabisa, Jackie alikuwa mchangamfu sana ila Julius alikuwa mpole mno mzito na kwa ujumla ufaulu wake darasani haukua mzuri kuanzia darasa la tano mpaka la saba alianza kuchangamka na kufaulu kidogo kidogo.
2. Wakati wako primary ila shule ilikuwa ni shule ya kulala walipokuwa wanafunga Jackie alikuwa anaenda kwa bibi na Julius kwao ila hawakujua ya
kwamba walikuwa majirani, ila walipomaliza darasa la saba ndipo waliona wazazi wao wanakuja kwa wakati mmoja na watoto hawakujua kabisa kwamba walikuwa majirani kwa hiyo tangia siku hiyo wakajua na na wakaenda nyumbani wakakuta kuwa ni majirani wakaanza kutembeleana na kuangalia move kipindi wazazi wako kazini.
3. Basi katika kukaa wenyewe katika kipindi cha likizo ya baada ya darasa la saba wakisubiri matokeo ya kwenda sekondari wakaanza mahusiano kati yao na waliwashawishi wazazi kuwapeleka shule moja ya sekondari wakaenda wanajitambulisha kama ni ndugu pale shuleni wakasomo ila Jackie alikuwa na akili sana kuliko mwenzake na pia alikuwa na wivu kupita kiasi mpaka akikuta msichana anaongea na Julius alikuwa anachukia mpaka anazimia.
4. Kwa hiyo na ufaulu wa jack ulishuka mno yaani kutoka wa kwanza mpaka kuacha watu wawili nyuma ili kuwa wa mwisho ni kwa sababu ya wivu kwa Julius basi mama akafanya mpango wa kumwamisha mwanael ili mvulana nnaye akafanya mpango akaenda shule ya jack alipohamia na wakaenda wote shule moja wala na wakaendelea na mahusiano kawaida.
5. Yaani walikuwa na tabia hiyo ya kutembea wameshikana mikono na baadae waalimu hawakuelewa kwa sababu ya upendo kati kati.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
NIMLAUMU NANI (sehemu ya sita)
Post inahusu zaidi hadithi ya NIMLAUMU NANI ambayo ni sehemu ya sita, katika kipengele hiki tunaenda kumwona msichana Amina anapambana na hatimaye anafunga ndoa ya kiserikali na Frank
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme, tunajua kuwa mama yake na binti alimtorisha yule binti mbali kabisa ila kijana naye aliamua kutoroka na kumfuata binti mfalme na hatimaye akampata alipo.
Soma Zaidi...Hasara za wivu na kutokuwa wazi ( sehemu ya 2)
Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu na kutokuwa wazi sehemu ya pili, sehemu hii inahusu mama Lisa anaenda kwa mama lina ili kuuliza kinachoendelea kwa mtoto wake , kwa hiyo tuona atapata jibu gani.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme (sehemu ya nne)
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya nne ni pale bibi anawachanganya kwa maneno yake yaani mke wa kwanza anaambiwa aandae malkia na mke mdogo atafute njia za kufanya kijana wake kuwa mfalme.
Soma Zaidi...