Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, kuhusu hadithi hii ni pale Jackie anaandikiwa barua na Julius ili apotezwe akili na wavulana wengine kwa sababu Jackie aliwapita darasani.

Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili.

1. Kama tulivyoona kwenye hadithi iliyotangulia ni kwamba wavulana waliandika barua kwa jack ili waweze kumfanya jack apumbazike na kufeli mtihani kwa hiyo barua hiyo iliandikwa kama ifuatavyo.

 

2. Natumaini kuwa ujambo na unaendelea vizuri na masomo na pia naona siku hizi unafaulu sana , mpenzi jack kwa kweli umeejaliwa kila kitu uzuri wa sura, umbo zuri,mguu kama bia , unapendwa na wanafunzi wote na kitu kizuri zaidi ni kufaulu darasani kwa hayo yote naona hakuna msichana mwenye sifa kama hizo katika shule nzima kweli umebalikiwa.

 

2. Jackie kwa kweli mimi huwa nakupenda sana na ukumbuke tumetoka mbali mno mimi na wewe kumbuka tulikotoka jinsi ulivyohama nikakufuata na sasa mimi naona kama unanisaliti kwa kumpenda Dickson na inaniuma sana kutoka moyoni kwa hiyo ni vizuri kabisa tuje pamoja tuyajenge na turudie kawaida, Jackie mpaka umenifanya nikawa na feli ni kwa sababu ya kufikilia wewe, pamoja na hayo nakuomba tuwe tunasoma wote kila siku na kwenye dawati tuwe tunakaa wote.

 

3. Kama unataka kuamini siku ya jumamosi twende hotelini tuongee vizuri ili uone uchungu nilionao kwa sababu naumia sana mno yaani mpaka naona aibu kulia mbele ya wenzangu kwa sababu ya kuwepo kwa uchungu moyoni mwangu, jackie umenifanya nalia nakonda mimi, Bora nife kuliko kuishi bila wewe, yaani baada ya kupokea barua hii nijibu Ili nione cha kufanya.ila natumain ombi litafanikiwa.

 

4. Jackie baada ya kupokea barua hii alifurahi mno kwa sababu alimpenda sana Julius na kumpenda Dickson alitafuta sehemu ya kujishikisha yaani tangia hapo akili zikamruka na akamtafuta Rafiki yake Ili kumwonuesha barua Ile, ila rafiki yake hakufurahi kwa sababu alijua kabisa kuhusu usaliti wa wavulana alijaribu kumshauri sana Jackie lakini Jackie hakuelewa alitafuta mda Ili kuweza kujibu barua ya Julius.

 

5. Kesho yake Julius alikuuja kukaa na Jackie kwenye dawati Moja na Jackie alifurahi sana kuona Julius anakuja kukaa naye na hapo ndipo mwanzo wa kupoteza masomo darasani. Kwa hiyo Julius akaomba majibu ya barua yake , Jackie aliandika kama ifuatavyo.

Itaendelea baadaeJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/19/Tuesday - 02:16:08 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 640


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-