MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia. Maumivu haya hutokea kwa namna mbalimbali. Mara nyingi maumivu haya huwapata wanawake. Mara chache wanaume wanapokuwa na maradhi flani kama fangasi kwenye uume ama maradhi mengine ya ngono ndipo hupata maumivu haya.
Maumivu haya hutokea pindi:
- Pindi uume unapoingia ukeni kwa mara ya kwanza
- Kila wakati uume unapoingia ukeni
- Maumivu wakati wa kupushi na kutoka kwa uume
- Kuhisi kuungua ukeni
- Maumivu baada ya kufanya tendo la ndoa
Sababu za maumivu haya
- Kutokuwepo kwa uteute wa kutosha wa kulainisha uke
- Majeraha na makovu ukeni kama waliotahiriwa
- Kuvimba kwa uke ama kuwa na mashambulizi ya bakteria
- Matatizo ya saikolojia
- Kukaza kwa misuli ya uke
- Maumbile ya uuke kama kuwepo kwa utando unaozuia njia ya uke kuwa wazi
- Kufanyiwa upasuaji kama hysterectomy ama matibabu ya saratani
- Kuwa na msongo wa mawazo
- Staili iliyotumika wakati wa kufanya tendo 0l>
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 web hosting 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa,ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kwenye mwili ukilinganisha na homoni ya projestoren.
Soma Zaidi...Tiba ya awali kwa mwanamke mwenye changamoto ya PID
Posti hii inahusu zaidi tiba ya awali kwa mwanamke mwenye changamoto ya PID, tunaita tiba ya awali kwa sababu baada ya kupima na kugunduliwa kwamba una tatizo au changamoto ya PID ni vizuri kutumia tiba hiii baadae ndipo utumie dawa.
Soma Zaidi...Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue
Soma Zaidi...Hatari ya kutokwa na damu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hatari za kutokwa na damu wakati wa ujauzito, hali hii utokea wakati wa ujauzito ambapo Kuna baadhi ya wajawazito utokwa na damu jambo ambalo hatupaswi kutarajia kwa sababu tunafahamu kabisa mama akishapata ujauzito na damu zinakom
Soma Zaidi...Hivi kipimo cha mimba cha mkojo baada ya kutumika Mara 1 ,hakiruhusiw tena kutumika au
Je ni kweli kupima kimoja cha mloka kinaweza kupima mimba zaidi ya mara moka?
Soma Zaidi...Kwa nini hujapata siku zako za hedhi.
Unaweza kupitiliza siku zako za hedhi kwa sababu nyingi. Post hii itakueleza ni kwa nini umechelewa kupata siku zako.
Soma Zaidi...