mambo HATARI KWA UJAUZITO (MIMBA) mambo yanayopelekea kujauzito kuwa hatarini kutoka
Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
MAMBO HATARI KWA UJAUZITO
Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini. Mambo haya yenyewe hayawezi kusababisha ujauzito kutoka ila yanaweza kuongeza hatari ya ujauzito kutoka pindi yakiambatana na mambo matani niliyotangulia kuyataja hapo juu. Mambo haya ni kama:
- Kuwa na umri mkubwa kuanzia miaka 35 mpaka 40
- Kuzidi kwa uzito mwilini
- Uvutaji wa sigara
- Unywaji wa pombe
- Ulaji wa caffeine nyingi kupita kiasi. Caffein hupatikana kwenye chai.
- Sumu za kwenye vyakula, kama kwenye nyama.
- Matumizi ya baadhi ya madawa kama
- Misoprostol
- Retinoids
- Methotrexate
- NSAIDs kama ibuprofen
- Maambukizi na mashabulizi ya
- HIV
- Cytomegalovirus
- Bacterial vaginosis
- Gonorrhea
- Chlamydia
- Malaria
- Syphilis
- Kisukari
HAYA HAYASABABISHI MIMBA KUTOKA
- Kufanya mazoezi
- Kufanya kazi
- Kula vyakula vinavyowasha kama vyenye pilipili
- Kufanya tendo la ndoa
- Kupata msituko
- Kuwa na mawazo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa, ni sababu ambazo utokea kwa akina Mama wengi kadri ya wataalamu wametafuta asilimia kuwa asilimia sabini ya wanawake mifuko yao ya kizazi kushindwa kisinyaa.
Soma Zaidi...Samahani naomba kuhuliza je unaweza kutokwa na maji maji ambayoa ayana rangi Wala harufu Ni dalili gani kwa mimba ya mwezi mmoja
ukiwa na ujauzito unaweza kuona mabadiliko mengi katika mwili wako yakiwemo kutokwa na majimaji. je majimaji haya yana dalili gani kwenye ujauzito?
Soma Zaidi...Kiungulia kwa wajawazito, dawa yake na njia za kukabilianannacho
Wajawazito wamekuwa wakisumbuliwa sana na kiungulia, makala hii itakujulisha njia za kukabiliana na kiungulia, dalili zake na dawa zake
Soma Zaidi...Je, mwanamke anapataje Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi PID?
Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Soma Zaidi...Umuhimu wa uzazi wa mpango
Uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na WA awake na wasichana Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji na kuepuka mimba zisizotarajiwa.
Soma Zaidi...Sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu
Posti hii inahusu zaidi sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu, hali hii uwatokea wanaume wengi kwa sababu mbalimbali za kimaisha ambazo ufanya mbegu za kiume kuwa dhaifu na kusababisha madhara makubwa zaidi kwa sababu wanaume wengi ushindwa kujiamini kwa h
Soma Zaidi...