maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimba

Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?

maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimba

Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?Namba ya swali 037

Huwenda una fangasiNamba ya swali 037

Hizo fangas zinasababishwa na nn?Namba ya swali 037

Huwenda umezipata kwenye mazingira ya kazi, ama vyooni, ama kupitia kukutana kimwili n.kNamba ya swali 037

Fika kituo cha afya upate vipomo baada ya kuthibitika aina ya fangasi waliokuwepo utapewa dawa za kupaka ama kumeza. Pia kukingana na athari walioonyesha. Fangasi wanatibika haraka sana kama utafata masharti vyema.Namba ya swali 037Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 172


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-