Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako.
ðŸ†swali
👉Ndug me naitaj ushaul man nishaingia kwny tendo dakika 7 tu nakua nidhfk kilelen naomb ushaul ndugðŸ†ðŸ†
Jibu
👉Huwenda huna shida sana. Wenye tatizo huwa wanamwaga ndani ya sekunde 30.
👉Tafiti zinaonesha kuwa wastani wa wanaume kushiriki tendo la ndoa ni dakika 5. Kuna baadhi ya tafiti zinaonesha ni dakika 3.
👉Hii inamaana kama wewe ni dakika 7 hupo kwenye wenye tatizo.
ðŸ€ðŸ€Hivyo basi unachohitaji wewe ni kukutana na mtu akushauri namna ya kuongeza kidogo ama kuendana na kasi ys mpenzi wakoðŸ€ðŸ€
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kamaumeshawahi kujiuliza kuhusu kutokwaba damu tofautivna siku za hedhi, base mwaka hii ni kwaajiki yako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi viti vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid, ni jumla ya vitu vyote vilivyopo kwenye maji ya Amniotic fluid.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi, tunajua kabisa wakati wa hedhi damu inapaswa kuwa nyepesi na ya kawaida ila kuna wakati mwingine inakuwa na mabonge zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na miezi Saba na nane kwa kawaida mtoto wa hivi anakuwa hajafikisha mda wake kwa hiyo uzaliwa akiwa na miezi saba na nane, kwa hiyo kuna sababu mbalimbali kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za Uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango ni huduma ambazo hutoa chaguo kwa familia kuwa na idadi ya watoto wanaotaka katika muda maalum, wanahisi na mbinu iliyoamuliwa.
Soma Zaidi...