Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume
Post hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo tunapaswa kujua au kufahamu kuhusu mbegu za kiume, kwa kuwa mbegu za kiume usaidia katika utungaji wa mimba kwa hiyo ni vizuri kabisa kuzitunza Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa s
Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume.
1. Achana na uvutaji wa sigara.
Kwa kawaida tunafahamu kuwa kwenye sigara Kuna madini mbalimbali ikitokea yakatumiwa vibaya usababisha mbegu za kiume kupunguza ubora wake na hatimaye kama mtu alianza mapema kutumia sigara usababisha mbegu za mwanaume kukosa nguvu na kusababisha kuwepo kwa nguvu za kiume kwa wanaume au mwanaume kutoa mbegu ambazo hazijakomaa.
2. Epuka matumizi ya mara Kwa mara ya dawa za kuongeza homoni ya testosterone bila ruhusa ya daktari.
Kwa kawaida homoni hii ya testosterone usaidia katika shughuli mbalimbali za kubarehe, Kuna kipindi homoni hii haizalishwi vya kutosha kwa hiyo dawa mbalimbali zinazotolewa kwa ajili ya kuongeza homoni hii kwa hiyo ili kuendelea au matumizi ya dawa za kuongeza homoni utolewa kwa uangalizi wa daktari kwa hiyo matumizi ya mara kwa mara usababisha uharibifu wa mbegu za kiume.
3. Matumizi ya mlo kamili.
Mlo kamili ni ule mlo wenye aina mbalimbali za vyakula yaani kila mlo uwe na mboga za majani na matunda pia kuepuka ulaji wa mlo mmoja kila siku kwa mfano ugali kuanzia asubuhi mpaka jioni.
4.Mazoezi yanapaswa kufanyika kwa wanaume.
Kwa kawaida miili yetu imejaa sumu kwa sababu ya kuwepo kwa vyakula mbalimbali na vyenye kemikali ni vizuri kabisa kufanya mazoezi ili kuweza kupunguza sumu mwilini na kufanya kila kitu kikawa chepesi.
5. Punguza matumizi ya pombe.
Matumizi ya pombe hasa kwa vinywaji vyenye wingi wa caffeine ya kutosha kwa mfano matumizi makubwa ya soda.
6. Tunza vizuri joto la mwili wako.
Acha kuvaa nguo nyingi sana za ndani kwa wakati mmoja na kawaida vaa nguo laini laini.
7. Punguza msingo wa mawazo.
Kwa kupunguza mawazo kila kitu kinaweza kuwa sawa na kawaida shirikisha mambo yako yanayokusumbua kwa wengine ili kuweza kuwa huru.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Sababu za kuwepo fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi.
Soma Zaidi...Haya maji meupe hutokea wakat mimba ishatungwa au ukifanya tendo la ndoa lazima utokee?
Majimaji yanayitoka kwenye uke yanafungamana na taarifa nyingi kuhusu afya vya mwanamke. Ujauzito, maradhi, mabadiliko ya homoni na zaidi.
Soma Zaidi...Dalili za mimba ya siku 4
Unaweza kutaka kujuwa je naweza kupata dalili za mimba baada ya siku nne toka ujauzito kutungwa? ama baada ya siku nne toka kushiriki tendo la ndoa. Makala hii itakwenda kujibu maswali haya na mengineyo.
Soma Zaidi...Faida na hasara za Kufunga kizazi kwa Wanaume
Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Soma Zaidi...je ute wa uzazi uanza kuonekana siku ya 14 tu au kabla ? Na je mimba ya siku tatu inaweza kucheza?
Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu za siri ni katika baadhi ya dalili. Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
Soma Zaidi...Njia za kumsafisha Mama aliyetoa mimba.
Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...