
Faida za kiafya za kula Ukwaju
- ukwaju una virutubisho kama vitamini C, K, B6, B1, B2 na B3, madini ya chuma, potassium, magnesium na phosphorus.
- Husaidia kuimarisha afya ya moyo
- Husaidia kushusha presha ya damu
- Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi
- Huzuia kuziba kwa choo na kuharisha
- Husaidia katika kulinda afya ya ini
- Husaidia wajawazito kuondoa kichefuchefu
- Husaidia katika kuthibiti uzito
- Hupunguza kasi ya kuzeheka haraka