Faida za kiafya za kula uyoga

Faida za kiafya za kula uyogaFaida za kiafya za kula uyoga

  1. uyoga una virutubisho kama protini, wanga, sukari, fati, madini ya chuma, caicium pia uyoga una maji kwa kiasi kikubwa, pia uyoga una vitamini D
  2. Uyoga hupunguza athari ya kupata saratani
  3. Hushusha cholesterol
  4. Huzuia kupata kisukari
  5. Huimarisha afya ya mifupa
  6. Husaidi katika ufyonzwaji wa madini ya calcium  na chuma kutoka kwenye vyakula
  7. Huimarisha mfumo wa kinga
  8. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 117


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-