Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Faida za kula pensheni au pashen (passion fruit)
1. tunda hili lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina madini ya chuma na potassium
2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya kemikali
3. Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo
4. Huboresha afya ya macho
5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tumbo, utumbo na matiti
6. Hupunguza athari za maradhi ya kisukari
7. Huondoa tatizo la kutopata choo
8. Huimarisha mwili dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope
Soma Zaidi...Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.
Soma Zaidi...vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi kuu za Vitamini B katika miili yetu
Soma Zaidi...