Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za kula tango japokuwa watu wengi hulipuuzia Ila Lina Faida kubwa Sana mwilini.
Zifuatazo Ni Faida za kula tango
1.husaidia kuondoa gesi tumboni; endapo umekula mchanganyiko wa chakula, au umekula chakula ambacho Kuna mzio na tumbo lako na kuleta gesi tumboni nivyema kutumia tango maana husaidia kuondoa gesi kabisa tumboni.
2.husaidia mmeng'enyo wa chakula tumboni maana tango Lina madini na Lina majimaji mengi hivyo hupelekea kusaidian mmeng'enyo wa chakula.
3.huongeza maji mwilini hii pia Ni Faida mojawapo ya kula tango
4.husaidia Kupunguza uzito au kitambo.kwasababu Ni tunda ambalo halijazidi chumvi Sana ipo tu ya kiasi pia Ni tunda ambalo halina sukari na ndio maana linapunguza uzito na kitambi Kama kimezidi.
5.husaidia kushusha presha.
6.husaidia kuleta ladha au hamu ya kula.
7.husaidia kuondoa tatizo la mkojo kuwasha.
8.linasaidia matatizo ya maambukizi Kama vile UTI
9.husaidia kuondoa uchovu.
10.linasaidia kutoa uume uliongia Ndani kurudi.
11 kukosa choo.
Mwisho; ukitaka kuona umuhimu wa kula tango usile tu Mara moja na kuacha Tumia Mara kwa Mara ndipo utaona Faida zake.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza kuhusu kazi za protini mwilini na vyakula vipi vina protini kwa wingi
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya
Soma Zaidi...Vijuwe vyakula vya kyongeza nguvu za kiume na mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E
Soma Zaidi...Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kahawa mwilini, ni faida ambazo ujitokeza hasa kwa watumiaji wa kahawa.
Soma Zaidi...