
Faida za kula tikiti
- hufanya mwili uwe na majimaji mengi na hii ni faida kubwa sana kiafya
- Tikiti lina virutubisho kama vitamini C, A, B1, B5, na B6. Pia lina madini ya manganessium na potassium
- Husaidia kuzuia saratani
- Huimarisha afya ya moyo
- Hupunguza misongo ya mawazo
- Hupunguza udhaifu wa viungo kwa wazee
- Husaidia kuboresha afya ya nywele na ngozi
- Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula