Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Faida za nyanya
1. Nyanya Ni chanzo kizuri cha virutubisho Kama fati, sukari na protini pia nyanya zinatupatia maji
2. Pua ni chanzo cha vitamini C, K na B9 pia Lina madini ya potassium
3. Ni nzuri kwa afya ya moyo
4. Huzuia ugonjwa wa saratani
5. Ni nzuri kwa afya ya macho
6. Ni nzuri kwa afya ya ngozi
7. Huzuia tatizo la kukosa choo
8. Ni nzuri kwa wenye kisukari
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...