
Faida z kiafya za pera
- husaidia kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia kuimarisha afya ya moyo
- Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama
- Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
- Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya ngozi