Faida za kiafya za kula Pensheni

Faida za kula pensheni au pashen (passion fruit)
- tunda hili lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina madini ya chuma na potassium
- Husaidia kulinda mwili dhidi ya kemikali
- Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo
- Huboresha afya ya macho
- Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tumbo, utumbo na matiti
- Hupunguza athari za maradhi ya kisukari
- Huondoa tatizo la kutopata choo
- Huimarisha mwili dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Madhara ya kula chakula chenye chumvi nyingi
Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula nyama
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama
Soma Zaidi...Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...