picha

Faida za kiafya za kula ndimu na limao

Faida za kiafya za kula ndimu na limao



Faida za limao ama ndimu na limao

  1. hupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa stroke yaani kiharusi unaopelekea kupapapaizi
  2. Kushusha presha ya damu
  3. Huzuia kupata saratani
  4. Husaidia kuboresha afya ya ngozi
  5. Huzuia kuata pumu
  6. Husaidi katika ufyonzwaji wa madini ya chuma
  7. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga
  8. Husaidia katika kupunguza uzito
  9. Ni chanzo kizauri cha vitamini C
  10. Lina virutubisho kama vitamini C, madini ya chuma, potassium, phosphorus na manganessium
  11. Hilinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1097

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana: