‹ Nyuma
› Endelea
‹ Books
‹ Apps ››
Faida za kiafya za kula mihogo
mihogo ina virutubisho kama vitamini C, protini, wanga, sukari, vitamini B, madini ya calcium, magnesium, sodium na phosphorus.
Husaidia katika kupunguza uzito
Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Husaidia kuboresha afya ya macho
Hutibu tatizo la kuharisha chemsha mizizi yake kisha kunywa
Husaidia katika kupenesha vidonda
Hutibu homa na maumivu ya kichwa
Hutibu minyoo
Huongeza hamu ya kula
Huianguvu miili yetu kwa haraka