
Faida za kiafya za kula kunazi (lote tree)
Tumia matunda na majani yake, majani unaweza kuyakausha na kusaga unga wake ama kuyachemsha.
- husaidia katika kupunguza maumivu
- Husaidia katika kupunguza maumivu ya tumbo
- Ni tunda zuri kwa afya ya mfumo wa upumuaji
- Husaidia katika kuondosha sumu za vyakula na makemikali mwilini
- Husaidia kurefresh mwili
- Husaidia katika kutibu maradhi ya ngozi
- Hupunguz maumivu ya chango kwa wakinamama
- Husaidia katika afya ya hedhi
- Husaidia katika ujauzito kwa mama na mtoto
- Husaidia katika kushusha joto la mwili