image

Faida za kiafya za kula Komamanga

Faida za kiafya za kula Komamanga



Faida za kiafya za kula komamanga

  1. komamanga lina virutubisho kama A, C, K na E.
  2. Hulinda mili dhidi ya kemikali
  3. Huzuia damu kutokuganda kwenye mishipa ya damu na moyo
  4. Huboresha afya ya moyo na mfumo wa mzunguruko wa damu
  5. Komamanga husaidia kupunguza tatizo la nguvu za kiume
  6. Husaidia katika harakati za kupambana na saratani
  7. Husaidia katika afya ya ubongo hasa katika utunzaji wa kumbukumbu
  8. Hushusha presha ya damu
  9. Huimarisha mfumo wa kinga
  10. Hupunguza stress na misongo ya mawazo

 



                   





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 350


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula Fyulisi
Soma Zaidi...

FAIDA ZA MAJI MWILINI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Upungufu wa vitamini C na dalili zake mwilini
makala Soma Zaidi...

Faida za kiafya za parachichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi Soma Zaidi...

Faida za kula ndizi
Somo hiki linakwenda kukueleza faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula fenesi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula ndizi
Soma Zaidi...

Vyakula vya protini na kazi zake
Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C Soma Zaidi...

Faida za kula parachichi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai Soma Zaidi...

UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...