
Faida za kiafya za kitunguu thaumu
- ina chembechembe za salfa ambazo ni dawa kubwa kwa afya ya mtu
- Kuna virutubisho kama vitamini C na vitamini B6, pia madini ya manganese
- Hupunguza usingizi
- Hupambana na mafua
- Hushusha presha ya damu
- Huboresha afya ya moyo
- Huborsha afya ya ubongo na kuondoa tatizo la kusahausahau
- Huondosha sumu za vyakula na kemikali mwilini
- Huboresha afya ya mifupa