Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Faida za kiafya za tope tope (accustard apple au sweetsop)
1. tope tope lina virutubisho kama vitamini C na B. pia lina madini ya potassium na magnessium
2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya pumu
3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
4. Kufanya moyo uwe katika afya salama
5. Hushusha presha ya damu
6. Husaidia katika kuupa mwili nguvu
7. Huboresha na kuimaisha afya ya mifupa
8. Hufanya tezi ya thyroid iwe salama
9. Huzuia matatizo ya ujauzito
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kupatwa na maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini.
Soma Zaidi...Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...