Faida za kiafya za kula maharagwe, njegere, kund na mbaazi

Faida za kiafya za kula maharagwe, njegere, kund na mbaazi

Faida za kiafya za kula maharagwe, njegere, kund na mbaazi



Faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere mbaazi na njugumawe

  1. Tunapata virutubisho kama protini, vitamini B, A na K madini ya shaba, chuma, na manganese.
  2. Husaidia kushusha sukari na kuboresha kiwango cha insulini
  3. Hupunguza uwezekano wa kupata kisukari
  4. Hupunguza cholesterol mbaya mwilini
  5. Husaidia katika kupunguza uzito
  6. Husaidia hatari ya kupata saratani
  7. Hupunguza uwezekano wa kupata presha
  8. Huboresha afya ya mifupa


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2590

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.

Tatizo la nguvu za kiume linawwza kuzuiliwa ama kupunguzwa kwa kutumia muunganimo wa njiankadhaa kama kubaduki vyakula, kutumia dawa, kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano ama kufanya nazoezi. Je na wewe unasumbuliwa na tatizo hili? Makala hii

Soma Zaidi...
Faida za apple kwa Mama mjamzito

Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I

Soma Zaidi...
Kazi za madini ya Shaba mwilini.

Post hii inahusu zaidi madini ya Shaba mwilini,ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini, kama ifuatavyo

Soma Zaidi...
Faida za tangawizi

Somo Hili linakwenda kukuletea faida za tangawizi

Soma Zaidi...