picha

Faida za kiafya za kula karanga

Faida za kiafya za kula karanga



Faida za kiafya za kula karanga

  1. karanga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini B1, B2, B6, madini ya calcium, phosphorus, magnesium na sodium
  2. Husaidia katika kudhibiti kisukari
  3. Husaidia kuzuia saratani
  4. Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo
  5. Huzuia unyonyokaji ama ukatikaji wa nywele
  6. Husaidia katika kupunguza uzito
  7. Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto
  8. Huboresha afya ya ngozi
  9. Ni nzuri kwa afya ya moyo


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 4263

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Kazi ya Piriton

Posti hii inahusu zaidi kazi ya Piriton katika kutibu mzio au akeji ni dawa ambayo kwa lingine huitwa chlorpheniramine Maleate.

Soma Zaidi...
Vyakula vya madini kwa wingi, na kazi za madini mwilini

Utajifunza vyakula vyenye madini kwa wingi, kazi za madini mwilini na athari za upungufu wake

Soma Zaidi...
JITIBU KWA TANGAIZI: faida za kiafya za tangaizi

Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.

Soma Zaidi...
Kazi za madini ya zinki

Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,

Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin A

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin A

Soma Zaidi...
Nyanya (tomato)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya

Soma Zaidi...
Faida za kula Tangawizi

tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi

Soma Zaidi...